matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Hii itakuwa na Faida gani ukilinganisha na hicho alichokifanya.Aliache kama lilivyo ila abadilishe mfumo wa uongozi kama anahisi kuna harufu ya upigaji
Ndio maana nauliza. Sielewi kabisa Mkuu.Huna unachoelewa wewe
Hahahatunapinga tu kwasababu tulibatizwa kuwa ni "wapinzani" saa nyingine hatuna sababu!
Nimeelewa hadi nimesikitika.Uzi maalumu wa Halmashauri ya Ilala Jiji
Kwanza kabisa naomba nikiri hata mimi imenichukua muda mwingi kuelewa alichokifanya jana Mh. Rais ila twendeni taratibu ili kila mmoja aelewe nini maana hasa ya halmashauri ya manispaa ya Ilala kupewa hadhi ya halmashauri ya jiji la Dar es Salaam. Naomba tuanze kwa kuchukulia mfano wa jiji la...www.jamiiforums.com
Mambo yako vizuri.Anajua mwenyewe na uongozi wake, angesema anabomoa majengo ya dsm yote na kuhamishia watu chatto ndo tungepinga ila kama vipo mambo safi tuu
Ameondoa layer kivuli ambayo haikuwa na tija yoyote. Soma mfano wa nyamagana hapo juu.faida ya maamuzi hayo ni nini??
Tuanzie hapo kwanza.
Umeulizwa mbadala wako Ni upi? Mbona unatafuta ugomvi binafsi badala ya kumjibu huyo mleta uzi?Huna unachoelewa wewe
Ndio maana nauliza. Sielewi kabisa Mkuu.
Hongera kwa kunigundua MAPEMA.
Fafanua kwa Faida yangu na wasioelewa wenzangu.