GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Punguza mahaba kwa kolo mzee mwenzangu Yanga itakutoa jashoTunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno.
Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
Uzi tayari?? UnculturedTunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno.
Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
Na bado hujasema mpaka utasema tu 😀Tunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno.
Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
Waambie huo ni ukweli na wahakikishe kila mtu ndani ya gari apewe hayo maonyo au makatazo ya msingi sana, na Fujo za hovyo. Walimbikizo waje wafanye vibes za hovyo wakivuka bodaTunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno.
Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
Sitokei Bunda bali ninatokea Butuguri.Sawa ndugu yangu wa Bunda, mimi nipo hapa Ngara mkifika naomba nipewe taarifa tuungane pamoja
Nimecheka mpaka basi Mkuu Wangu.Ungekaa kimya maana mimi nilitamani wakidakwa huko wabaki huko huko magerezani ili msemaji wao akija na uchungu wa kufungwa changanywa kukamatwa kwa matoponyo basi apoteane kwenye conferences zao
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Wamesafiri Kitajiri hivyo hawana tatizo.mbona hutupi updates za wanaosafiri kwenda zambia mkuu?
Hukuj@mb@?Nimecheka mpaka basi Mkuu Wangu.
mimi naongezea na kutapikaTunaosafiri leo kwenda Kigali tabia zetu za Uwizi, Kukojoa, Kuvuta Bange na 'Kuukweka' hovyo tuziache Dar es Salaam
Leo tunaenda kuwaoa dada zako wa kinyarwanda,Tunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno.
Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
Aahaaaaawewe mbilikimo una shida gani?View attachment 2748923
yanga huiweziTunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno.
Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
Ya 'Kukuweka tuwewe mbilikimo una shida gani0pppppppppppView attachment 2748923
Una matusi ya kishamba sana sisi wengine tunakuchora tu na tina album ya matusiYa 'Kukuweka tu