Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam JF
Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa.
Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na pesa za kula mbususu, hizi za mishe mishe na biashara sizigusi kabisa, maana ziko calculated.
Ebu tuzumgumze wadau na tuseme kama dawa ipo hasa kwa mtu kama mimi ambae pesa za mikeka zinafanya Nile sana mbususu za udom, Mipango, CBE, ST John.
Naachaje kwa mfano na kwa njia ipi na kuhusu mbususu itakuwaje nianze kuziita pisi hello Aunt.
Naombeni ushauri au nihamie mazima kwenye mega tu?
Walevi wa Dubwi ndio usipime kama wala unga hata nauli wanakosa.
Huuuuuwiii bhaghosha 🤣🤣🤣
Yesu mwana wa Maria shuka uokoe Taifa la Tanzania
Karibuni
Wadiz.