Tunaosoma Open University of Tanzania tukukutane

Tunaosoma Open University of Tanzania tukukutane

Hivi mfano mtu anayesoma LLB Open University,anakua COMPETENT kweli au hicho chuo kipo kwaajili ya WANASIASA tu,competency haiangaliwi?
Madaktari wa binadamu nao inakuaje?
 
Hivi kama nilijisajili centre fulani naweza kuhamia centre nyengine, mfano nilikua natumia ILALA sasa nahitaji kutumia centre ya pwani
 
Hv certificate ya IT wanatoa distance learning mode.
 
Back
Top Bottom