Mkuu unakaaje HIGH TABLE na uje tena ukae FRONT SEAT ?wakuu mpo? saidien hapa
Point of correction ni MTT sio UTT.Na mitihani ya kozi work yaani UTT unapiga physically.Nikipig LLB pale 2019.
Magroup yapo ila ni kwa wanao share somo husikaKama kuna magroup pia ya open msaada pls wa kuungwa. Nipo Meatu Simiyu
Brother ushaenda school of LawNa mitihani ya kozi work yaani UTT unapiga physically.Nikipig LLB pale 2019.
Naomba group la Mass comMagroup yapo ila ni kwa wanao share somo husika