Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Utapata tabu sana bongo hii kutembelea chasis number
Gari zinazotumia Chesis namba xinongezeka sana kwa sasa... sijui kisheria ipoje kuna mdau aliniambia ni kindewa tu ila mwisho saa 12....
 
Gari zinazotumia Chesis namba xinongezeka sana kwa sasa... sijui kisheria ipoje kuna mdau aliniambia ni kindewa tu ila mwisho saa 12....
Gari za showroom hizo,ukinunua unaona 'mpya' kumbe wameitembelea vumbini kinoma.
 
Longway to go. DJklmnpqrstuvwxyz. Halafu ianze dza

Kila herufi kwa utafiti wangu huchukua siku 2 hadi tatu kuhamia herufi nyingine...

Kwa DYJ itakaa kwa siku 2 hadi 3,
So mpaka kufikia DYZ ni siku 48 maximum ambapo from now ni mpk mwezi wa 2 mwishoni...
DZ itaanza March na kuisha June.
 
Hawa jan Japan nimewakubali kwanza wanaandika km harisi wanauza hadi magari ya mileage 220k(wakweli) na pili wana gari hadi za milion 8 na 9 hapa hapa Tz.

Nenda ukurasa wao wa insta utafurahi wako real Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…