Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Ceteris paribus
Mutatis Mutandis.

Mwishoni na mwanzoni mwa mwaka huwa kuna discount kwa wauzaji wengi inayopelekea watu wengi kununua magari ila haijawahi kutokea herufi moja (DTA-DTZ) kukaa miezi 12 toka huu mfumo uanze.

Max ni 4 to 5 months.
 

Na value ya dollar imepandisha kodi na bei za magari pia
 
Mutatis Mutandis.

Mwishoni na mwanzoni mwa mwaka huwa kuna discount kwa wauzaji wengi inayopelekea watu wengi kununua magari ila haijawahi kutokea herufi moja (DTA-DTZ) kukaa miezi 12 toka huu mfumo uanze.

Max ni 4 to 5 months.
Hii nakubali sababu pia registration numbers zinachukua mitambo pia so miradi ikianza especially financial year ikianza namba zinakimbia pia sababu ya importation ya mitambo.
 
Kwan mkuu wakati wa namba C hukuona namba kama T346CZS? Hapa inamaana ikiisha DYZ itaanza DZA hadi DZZ ndio mwisho wa herufi halafu tunaanza series ya E. Imagine ni magari mangapi hapo? Ndio maana natabiri DZ itaingia 2023
Hivi una habari kuwa kwa sasa tumeshafika DYR?

Bado DY...S,T,U,V,W,X,Y,Z

Kisha tuanze EAA
 
Hizi hesabu zako ni kichaa.

Yaani DZA-DZZ ichukue miezi 12!!

Nimesajili DXE September 2021 na sasa tupo DYR March 2022.

DXE yangu yenyewe ni ya mwanzo kabisa.
Mkuu sasa tupo series ya DYR
 
Kwa mwezi hatutoboi gari 1000 upo serious kweli? Kwa wastani kila week 2 herufi inahama!

Yani hio DYR iko na gari 400+ na haijafunga week 2 means imeanza February mwishoni hapo mpaka kufikia tarehe 15 itakuwa ishaisha DYS imeanza!

Mpaka mwisho wa mwezi wa 4 inahamia DYT. Kufikia 15 April tutakuwa DYU.

Mwisho wa April tunaanza DYV mpaka 15 May ishahamia DYW.

Mwisho wa May ni DYX mpaka katikati ya June ni DYY.

End of June ni DYZ mpaka mids of July tunaanza DZZ.

Mkuu nimekubali kweli hatuingii namba E mwaka huu...Kwa wastani wa herufi mbili kila mwezi hatutoboi😂😂😂😂
 
Hizi hesabu zako ni kichaa.

Yaani DZA-DZZ ichukue miezi 12!!

Nimesajili DXE September 2021 na sasa tupo DYR March 2022.

DXE yangu yenyewe ni ya mwanzo kabisa.
Mkuu anaweza kuwa sahihi nimeangalia kwa wastani wa herufi mbili kila mwezi DY tutaimaliza mwezi wa 7!

Mid of July tutaanza DZ... hio nayo kwa mzunguko wa herufi mbili kila mwezi.

July...DYZ
Aug-Sept...ZA-ZB
Oct-Nov...ZC-ZD
Nov-Dec...ZE-ZF

2023...
Jan-Feb...ZG-ZH
Mar-Apr...ZJ-ZK
May-June...ZL-ZM
July-Aug...ZN-ZP
Sep-Oct...ZQ-ZR
Nov-Dec...ZS-ZT

2024...
Jan-Feb...ZU-ZV
Mar-Apr...ZX-ZY
May-June...ZZ


Aisee E bado sana wazee😂😂😂 tuendelee kunawa mikono na kuvaa barakoa tu wahuni! E Bado mnooo...
 
Mradi wa SGR Isaka-Mwanza unaingiza magari na mitambo mingi sana kitu ambacho kinakimbiza number plates kwa kasi ya ajabu.
Likianza na hilo bomba kasi itakuwa ya kutosha
 
Umeangalia wapi Mkuu?

Kama hizi hesabu zako zingekuwa sahihi maana yake mpaka sasa tungekuwa DXL au DXM yaani hata DYA ingekuwa bado sana.

2021
Sept-Oct.....DXE-DXF.
Nov-Dec......DXG-DXH.

2022
Jan-Feb.....DXJ-DXK
Mar-Apr.....DXL-DXM.

UHALISIA:
Toka September 2021 mpaka March 2022.(Na hapa March ndiyo imeanza tu)

DXE..
(F,G,H,J,K,L,M,N,P,Q,R,S,T,U,V,W,X,Y,Z)

DYA...B,C,D,E,F,G,H,J,K,L,M,N,P,Q,R)

Yaani kwa miezi 7 (Sept 2021-Marc 2022) tumeenda herufi 36.(March ikiwa siku 4 tu)

Kwa mwezi ni herufi (36/7)=
5.1

Mkuu,Mimi natumia DXE kama benchmark sababu nina uhakika nayo (ndiyo namba yangu) halafu nyie mnaangalia sehemu,unaona tofauti.😁😁.

Kama mwezi tunasajili herufi 5.1 maana yake DZA-DZZ (herufi 24) itatuchukua miezi (24/5.1)=4.7

Hii wala siyo PROBABILITY bali ni ACTUALITY
 
July tutaingia DYZ sio DZZ naona ulikosea hapo
 
Mkuu ulivyoanza na ulivyomaliza imebidi nicheke umepiga hesabu ukaona kweli hatutoboi EAA mwaka huu....

Unajua mwanzo huu wa mwaka gari nyingi zimeingia. Ila nadhani tukifika katikati ya mwaka kasi itapoa tena....

D ipo sana
 
Mkuu ulivyoanza na ulivyomaliza imebidi nicheke umepiga hesabu ukaona kweli hatutoboi EAA mwaka huu....

Unajua mwanzo huu wa mwaka gari nyingi zimeingia. Ila nadhani tukifika katikati ya mwaka kasi itapoa tena....

D ipo sana
Kwani wasiwasi wenu wa D ni nini? Gari hazishuki bei kwa sababu ya namba wakuu, mtu gari yake DYZ kanunua millioni 17 auze kwa millioni 6 kisha kuna namba EAA? Biashara haiko hivyo hata siku moja. Ukiona gari zinauzwa bei hizo ujue zilinunuliwa bei za chini enzi za namba C.
 
You misquote me...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…