Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Yeah,Mwamba kateleza kdg...
Mie naona DZZ itafika july au agust hvi kwa spidi hii
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Hayo ndiyo makadirio yanayo-make sense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah,Mwamba kateleza kdg...
Mie naona DZZ itafika july au agust hvi kwa spidi hii
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Ceteris paribusHizi hesabu zako ni kichaa.
Yaani DZA-DZZ ichukue miezi 12!!
Nimesajili DXE September 2021 na sasa tupo DYR March 2022.
DXE yangu yenyewe ni ya mwanzo kabisa.
Mutatis Mutandis.Ceteris paribus
Yeah? Inaweza kuwa kweli Ila kwa bei za magari saivi hakuna anayeweza kuuza IST DYZ kwa 5m kisa tu imeanza EAA. I'm ready to put my money on it.
Nimeshangaa jamaa kataka IST DPZ kwa 11.5 tena kwa kuomba kabisa...haya magari yalikuwa 7-8-9m juzi tu. Mlioko kwenye industry tuambieni nini shida.
Hii nakubali sababu pia registration numbers zinachukua mitambo pia so miradi ikianza especially financial year ikianza namba zinakimbia pia sababu ya importation ya mitambo.Mutatis Mutandis.
Mwishoni na mwanzoni mwa mwaka huwa kuna discount kwa wauzaji wengi inayopelekea watu wengi kununua magari ila haijawahi kutokea herufi moja (DTA-DTZ) kukaa miezi 12 toka huu mfumo uanze.
Max ni 4 to 5 months.
Hivi una habari kuwa kwa sasa tumeshafika DYR?Kwan mkuu wakati wa namba C hukuona namba kama T346CZS? Hapa inamaana ikiisha DYZ itaanza DZA hadi DZZ ndio mwisho wa herufi halafu tunaanza series ya E. Imagine ni magari mangapi hapo? Ndio maana natabiri DZ itaingia 2023
Mkuu sasa tupo series ya DYRHizi hesabu zako ni kichaa.
Yaani DZA-DZZ ichukue miezi 12!!
Nimesajili DXE September 2021 na sasa tupo DYR March 2022.
DXE yangu yenyewe ni ya mwanzo kabisa.
Uza haraka hio gari maana kodi zinapanda tu😅Mimi mwenye namba C unanishauri vipi?
Sio kweli, DRY...DYZ, then tutaanza DZA...DZZ ndio tuingia EAAHivi una habari kuwa kwa sasa tumeshafika DYR?
Bado DY...S,T,U,V,W,X,Y,Z
Kisha tuanze EAA
Kwa mwezi hatutoboi gari 1000 upo serious kweli? Kwa wastani kila week 2 herufi inahama!DZ ina magari 19,778.
Kila herufi mfano DZA ina magari 899 yani kutoka DZA ni gari 899 kuanzia 101 mpaka 999....
DZB ni 899
DZC ni 899
SO herufi zipo 22 kutoka DZA mpaka DZZ ukichukua 899 x 22 unapata 19,778.
Kwa mwezi hatutoboi magari 1000 sasa chukulia gari 19,778 hapa tuna miezi kama 12 na udogo....
EAA see you in 2023 march....
Mark this post...
Unless litokee limradi likubwaaaa contract anunue magari mengi sana...
Hivi bomba la mafuta lishaanza???
Kweli hatutoboi mkuu😅😅😅 nilisahau kama kuna DZA.....DZZ hatutoboi E mwaka huu!Sio kweli, DRY...DYZ, then tutaanza DZA...DZZ ndio tuingia EAA
Mkuu anaweza kuwa sahihi nimeangalia kwa wastani wa herufi mbili kila mwezi DY tutaimaliza mwezi wa 7!Hizi hesabu zako ni kichaa.
Yaani DZA-DZZ ichukue miezi 12!!
Nimesajili DXE September 2021 na sasa tupo DYR March 2022.
DXE yangu yenyewe ni ya mwanzo kabisa.
Mkuu sio rahisi😅 kumbuka DY ikiisha lazma mzunguko wa DZ uanzie herufi A mpaka Z nao!Yeah,
Hayo ndiyo makadirio yanayo-make sense.
Mradi wa SGR Isaka-Mwanza unaingiza magari na mitambo mingi sana kitu ambacho kinakimbiza number plates kwa kasi ya ajabu.DZ ina magari 19,778.
Kila herufi mfano DZA ina magari 899 yani kutoka DZA ni gari 899 kuanzia 101 mpaka 999....
DZB ni 899
DZC ni 899
SO herufi zipo 22 kutoka DZA mpaka DZZ ukichukua 899 x 22 unapata 19,778.
Kwa mwezi hatutoboi magari 1000 sasa chukulia gari 19,778 hapa tuna miezi kama 12 na udogo....
EAA see you in 2023 march....
Mark this post...
Unless litokee limradi likubwaaaa contract anunue magari mengi sana...
Hivi bomba la mafuta lishaanza???
Umeangalia wapi Mkuu?Mkuu anaweza kuwa sahihi nimeangalia kwa wastani wa herufi mbili kila mwezi DY tutaimaliza mwezi wa 7!
Mid of July tutaanza DZ... hio nayo kwa mzunguko wa herufi mbili kila mwezi.
July...DYZ
Aug-Sept...ZA-ZB
Oct-Nov...ZC-ZD
Nov-Dec...ZE-ZF
2023...
Jan-Feb...ZG-ZH
Mar-Apr...ZJ-ZK
May-June...ZL-ZM
July-Aug...ZN-ZP
Sep-Oct...ZQ-ZR
Nov-Dec...ZS-ZT
2024...
Jan-Feb...ZU-ZV
Mar-Apr...ZX-ZY
May-June...ZZ
Aisee E bado sana wazee😂😂😂 tuendelee kunawa mikono na kuvaa barakoa tu wahuni! E Bado mnooo...
July tutaingia DYZ sio DZZ naona ulikosea hapoKwa mwezi hatutoboi gari 1000 upo serious kweli? Kwa wastani kila week 2 herufi inahama!
Yani hio DYR iko na gari 400+ na haijafunga week 2 means imeanza February mwishoni hapo mpaka kufikia tarehe 15 itakuwa ishaisha DYS imeanza!
Mpaka mwisho wa mwezi wa 4 inahamia DYT. Kufikia 15 April tutakuwa DYU.
Mwisho wa April tunaanza DYV mpaka 15 May ishahamia DYW.
Mwisho wa May ni DYX mpaka katikati ya June ni DYY.
End of June ni DYZ mpaka mids of July tunaanza DZZ.
Mkuu nimekubali kweli hatuingii namba E mwaka huu...Kwa wastani wa herufi mbili kila mwezi hatutoboi😂😂😂😂
EAA itaanza mwaka huu mkuu, labda ununuzi wa magari ushuke sana.Kweli hatutoboi mkuu[emoji28][emoji28][emoji28] nilisahau kama kuna DZA.....DZZ hatutoboi E mwaka huu!
Mkuu ulivyoanza na ulivyomaliza imebidi nicheke umepiga hesabu ukaona kweli hatutoboi EAA mwaka huu....Kwa mwezi hatutoboi gari 1000 upo serious kweli? Kwa wastani kila week 2 herufi inahama!
Yani hio DYR iko na gari 400+ na haijafunga week 2 means imeanza February mwishoni hapo mpaka kufikia tarehe 15 itakuwa ishaisha DYS imeanza!
Mpaka mwisho wa mwezi wa 4 inahamia DYT. Kufikia 15 April tutakuwa DYU.
Mwisho wa April tunaanza DYV mpaka 15 May ishahamia DYW.
Mwisho wa May ni DYX mpaka katikati ya June ni DYY.
End of June ni DYZ mpaka mids of July tunaanza DZZ.
Mkuu nimekubali kweli hatuingii namba E mwaka huu...Kwa wastani wa herufi mbili kila mwezi hatutoboi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wasiwasi wenu wa D ni nini? Gari hazishuki bei kwa sababu ya namba wakuu, mtu gari yake DYZ kanunua millioni 17 auze kwa millioni 6 kisha kuna namba EAA? Biashara haiko hivyo hata siku moja. Ukiona gari zinauzwa bei hizo ujue zilinunuliwa bei za chini enzi za namba C.Mkuu ulivyoanza na ulivyomaliza imebidi nicheke umepiga hesabu ukaona kweli hatutoboi EAA mwaka huu....
Unajua mwanzo huu wa mwaka gari nyingi zimeingia. Ila nadhani tukifika katikati ya mwaka kasi itapoa tena....
D ipo sana
You misquote me...Kwani wasiwasi wenu wa D ni nini? Gari hazishuki bei kwa sababu ya namba wakuu, mtu gari yake DYZ kanunua millioni 17 auze kwa millioni 6 kisha kuna namba EAA? Biashara haiko hivyo hata siku moja. Ukiona gari zinauzwa bei hizo ujue zilinunuliwa bei za chini enzi za namba C.