Naona watu wanapiga mahesabu ili wajue namba E inatoka lini kwa mashaka kwamba gari za D zitashuka bei. Namba zitakuja zitaondoka gari zitabaki, sasa mtu anaogopa kununua gari kisa namba? Yani ukae bila gari na una matumizi nayo kisa unasubiri namba kweli?You misquote me...
Mahesabu yao si sahii yani gari ishuke thamani zaidi ya nusu kisa kubadilika namba? Hapana kwa kweli hawapo sawa. Kuna gari namba C na inauzwa bei zaidi ya D. Gari unakuta imetunzwa ipo kinanda then uuze bei rahisi kisa unasubiria E.Naona watu wanapiga mahesabu ili wajue namba E inatoka lini kwa mashaka kwamba gari za D zitashuka bei. Namba zitakuja zitaondoka gari zitabaki, sasa mtu anaogopa kununua gari kisa namba? Yani ukae bila gari na una matumizi nayo kisa unasubiri namba kweli?
Wewe jidanganye tu na hio Dualis yako DYZ!Kwani wasiwasi wenu wa D ni nini? Gari hazishuki bei kwa sababu ya namba wakuu, mtu gari yake DYZ kanunua millioni 17 auze kwa millioni 6 kisha kuna namba EAA? Biashara haiko hivyo hata siku moja. Ukiona gari zinauzwa bei hizo ujue zilinunuliwa bei za chini enzi za namba C.
Gari ambayo ni namba C na inauzwa ghali kuliko D lazma iwe gari ya bei ghali na practical sana kama Land Cruiser labda!Mahesabu yao si sahii yani gari ishuke thamani zaidi ya nusu kisa kubadilika namba? Hapana kwa kweli hawapo sawa. Kuna gari namba C na inauzwa bei zaidi ya D. Gari unakuta imetunzwa ipo kinanda then uuze bei rahisi kisa unasubiria E.
Mwingine anakuambia sinunui gari mpaka E ifike.... Yani nikae na hela kisa E huyo atakua hana mpango wa kununua gari ila mbwembwe za mitandaoni....
Aisee kuna siku niliona RAV 4 namba A ni mpya, nikajiuliza au namba wamebandika????Gari ambayo ni namba C na inauzwa ghali kuliko D lazma iwe gari ya bei ghali na practical sana kama Land Cruiser labda!
Tena hio ni ile ambayo ina matunzo mazuri mno.
Zile gari zina ground clearance nzuri mnoAisee kuna siku niliona RAV 4 namba A ni mpya, nikajiuliza au namba wamebandika????
Yes gari nyingi kubwa zinadumu sana. Maana huwa imara. Range rover namba A unakuta si sawa na IST namba DC utakuta ile range bado mpya...
Kwa mwendo huo tutazimaliza mapemaNaona GSM kailimbiza namba DY kaingiza gari kama 100 na ushekhe na akiweka na tela zake ina maana anadouble namba...
Umeangalia wapi Mkuu?
Kama hizi hesabu zako zingekuwa sahihi maana yake mpaka sasa tungekuwa DXL au DXK yaani hata DYA ingekuwa bado sana.
2021
Sept-Oct.....DXE-DXF.
Nov-Dec......DXG-DXH.
2022
Jan-Feb.....DXI-DXJ.
Mar-Apr.....DXK-DXL.
UHALISIA:
Toka September 2021 mpaka March 2022.(Na hapa March ndiyo imeanza tu)
DXE..
(F,G,H,I,J,K,L,M,N,O,P,Q,R,S,T,U,V,W,X,Y,Z)
DYA...B,C,D,E,F,G,H,I,J,K,L,M,N,O,P,Q,R)
Yaani kwa miezi 7 (Sept 2021-Marc 2022) tumeenda herufi 40.(March ikiwa siku 4 tu)
Kwa mwezi ni herufi (40/7)=5.7.
Mkuu,Mimi natumia DXE kama benchmark sababu nina uhakika nayo (ndiyo namba yangu) halafu nyie mnaangalia sehemu,unaona tofauti.[emoji16][emoji16].
Kama mwezi tunasajili herufi 5.7 maana yake DZA-DZZ (herufi 26) itatuchukua miezi (26/5.7)=4.6
Hii wala siyo PROBABILITY bali ni ACTUALITY
Kwani unanunua gari uuze au hitaji lako la kwanza ni kukusaidia ktk mizunguko yako!?Wewe jidanganye tu na hio Dualis yako DYZ!
Hata ukiifungia kabatini usitembelee mpaka wa number E akisajili jua tu hutauza bei sawa na wa E!
Atakaesajili Dualis kwa namba EAB akiiweka sokoni tu na wewe ukaweka DYZ yako sokoni at the same week kama bei ya EAB itakuwa 17M wewe wa DYZ lazma utauza chini tu tena unaweza shangaa wewe ikakata hata million 4-5 toka kwenye bei ya mpya. Ukashangaa yako unauza 13M ila ina upya ule ule wa EAB.
Huo ni mfano tu mkuu na kama wewe unatembelea gari moja hadi ufanane nayo kuna watu wananunua magari na kuyauza mda mfupi baada ya kuyasajili kwa watu watakaoyapenda.Kwani unanunua gari uuze au hitaji lako la kwanza ni kukusaidia ktk mizunguko yako!?
Ila waTZ wakiamua jambo lao hawashindwi. Ile speed ya watu kununua magari Oct-Dec 2021 si tunaikumbuka lakini?
Kuna meli inaitwa TRANQUIL ACE inaingia March 15. Hii ndio meli kubwa kuwahi kuja TZ. Mara ya kwanza ilikuja 2021 August ilishusha magari 3700+
Ngoja tuone
Naona GSM kailimbiza namba DY kaingiza gari kama 100 na ushekhe na akiweka na tela zake ina maana anadouble namba...
Tatizo watanzania ni washamba sana.Wewe jidanganye tu na hio Dualis yako DYZ!
Hata ukiifungia kabatini usitembelee mpaka wa number E akisajili jua tu hutauza bei sawa na wa E!
Atakaesajili Dualis kwa namba EAB akiiweka sokoni tu na wewe ukaweka DYZ yako sokoni at the same week kama bei ya EAB itakuwa 17M wewe wa DYZ lazma utauza chini tu tena unaweza shangaa wewe ikakata hata million 4-5 toka kwenye bei ya mpya. Ukashangaa yako unauza 13M ila ina upya ule ule wa EAB.