Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Nimekuelewa mkuu
Kikubwa tu utambue sio magari yote used yamepanda bei, yapo yaliyopanda na kushuka with the same reg numbers and conditions, kupanda au kushuka kwa gari inategemea na mapokeo ya jamii husika. Mfano ist zimetoka 7 au 8 za mkononi ila now hupati kwa bei hiyo. Ukija kwenye brevis wakati zinatoka ilikuwa kwa mtu unapata kwa 9 mpaka 8 ila saizi bei ni 5 tena kwa kuhangaika. Kwa hiyo bado factors zinainfluence bei za magari.
 
Yah mana naona kabisa DZA ikiwah basi July au August ka nilivosena...


Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Projection za mtoa maada. Noma sana.
 
Sio negligible...

Umetoa gari zaidi ya 1,700.
Sawa.

Kwa mwezi herufi zimekuwa 5.1 badala ya 5.7 ya awali (yaani DZA,DZB,DZC,DZD,DZE) tofauti ni 0.5.

Herufi 24 yaani DZA-DZZ imekuwa miezi 4.7 badala ya 4.6 ya awali, tofauti ni 0.1

BOTTOM LINE:

DZA-DZZ (24 Letters) ni wastani wa 4-5 months.

Hata tuweke 6 months bado sawa tu ila hiyo ya kwako ya 12 months hata Kipindi cha COVID-19 haikutokea.

Tuendelee kusubiri herufi E,Mkuu.😁
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Kwa hiyo mkuu gari mbili zilizotunzwa saqa

Tatizo lao ubishi, hivi gari mbili zenye hali sawa, moja ni T 999 CZZ nyingine ni T 101 DAA ukiziweka sokoni utauza bei sawa? Hawajui namba ilivyo na impact kwenye kuuza gari.
 
Kwa hiyo mkuu gari mbili zilizotunzwa saqa



Tatizo lao ubishi, hivi gari mbili zenye hali sawa, moja ni T 999 CZZ nyingine ni T 101 DAA ukiziweka sokoni utauza bei sawa? Hawajui namba ilivyo na impact kwenye kuuza gari.
Hajui soko la magari bongo linavyoathiriwa na number plate.
 
Kwamba mtu atauza IST yake DXY 5M kisa EAA ipo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu bei za magari zinapanda sijui shida ni nini...

Halafu sio kwa ban hizo unazokula kila siku.
Wana wivu hao jamaa😅...

IST mtashusha bei tu bila kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…