Kichwa Kichafu E inaanza mwezi huuhuu ndinga yangu inaingia Aprili nakaa nayo miezi mi3 bila usajili hadi D iishe then Agosti Mosi E itakuwa ishaanza...subiri watu waanze kufagia bajeti Mei na Juni E itafika mapema tuu
SafiiDYU tayari nimeiona jana. Confirmed
Una moto sana mkuu. Kila la heri. Angalia shipping schedule, meli ni nyingi sana March unaweza kupindua meza in April[emoji1]Safii
Hapana meli yangu imetoka Australia kesho inawasili Yokohama tarehe 18 inaanza kuja na chuma...mabadiliko yamefanyika mara moja tu ukiwa gold member wa Bf hakuna shida unalobby tu hata kama meli chacheUna moto sana mkuu. Kila la heri. Angalia shipping schedule, meli ni nyingi sana March unaweza kupindua meza in April[emoji1]
Link hii hapa https://cdn.beforward.jp/assets/pdf/shipping_schedule_africa.pdf
[emoji2]namba ikipinduka IST 5M una matumainiLi D lipite TU madalalii wanaringa nayo kama Yao,eti Kwa Hela yakō hiyo UWEZI kupata D ,wajinga nyie
Tuko vizuri...sie wa EAA tumetulia tu hapa tunasoma mchezoDYU..iko kwenye 500+
Jumapili tunaingia DYV.... View attachment 2155889
Unajitaftia pressure tu mkuu, [emoji1]Tuko vizuri...sie wa EAA tumetulia tu hapa tunasoma mchezo
Bado gari chini ya 6,000.....DYU...
DYV
DYW
DYX
DYY
DYZ
bado gari kama 20,000!
je kwa mwezi bandari huingiza gari ngapi?
Kumbuka kuna DZA mpaka DZZ hiyo 6k unaipataje?!Bado gari chini ya 6,000.....
Kumbuka kuna DZA mpaka DZZ hiyo 6k unaipataje?!
Ndugu zangu wanaosubiri EAA safari bado mbichi sana. Imagine DY ineanza December na watu walikua na hela ila tupo almost April na bado DY ipo. DZ say itaanza May 2022 tuipe miezi yake minne au mitano hivii.Nadhan alipiga hesabu kuanzia DYU had DYZ
Nimeona umeweka DY tupu hapo...Kumbuka kuna DZA mpaka DZZ hiyo 6k unaipataje?!
Kama nakubali vile sioni EAA ikingia mwaka huu labda utokee muujizaEAA 101 itaingia July 2023.
kwa kutumia permutation probability.
kama hutaki acha... ulinilupia ada?