Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Una moto sana mkuu. Kila la heri. Angalia shipping schedule, meli ni nyingi sana March unaweza kupindua meza in April[emoji1]

Link hii hapa https://cdn.beforward.jp/assets/pdf/shipping_schedule_africa.pdf
Hapana meli yangu imetoka Australia kesho inawasili Yokohama tarehe 18 inaanza kuja na chuma...mabadiliko yamefanyika mara moja tu ukiwa gold member wa Bf hakuna shida unalobby tu hata kama meli chache
Screenshot_20220316-222555_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom