Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Labda lorry na matrailer 6000 yasajiliwe ghafla
Yani una hela zako unatembea kwa mguu kisa unasubiria namba EAA. Bongo hatari sana.

Ifike mda ghafla mfumo wa namba ubadilishwe kila gari isajiliwe upya kwa namba za mikoa kama South Africa au USA hadi wale wenye namba A wanapata namba mpya ndiyo mtajua hamjui kama ilivyokuwa kutoka kwenye TZA160 kuja T222AAA.
 
Hahaha. Tutaandamana aisee
 
Nilisema DYZ haiishi mwezi huu, yaani kama leo ipo DYW...bado tuna XYZ ndio tumalize DY.., then katikati ya April au mwanzoni mwa may tuanze DZA...
 
Nilisema DYZ haiishi mwezi huu, yaani kama leo ipo DYW...bado tuna XYZ ndio tumalize DY.., then katikati ya April au mwanzoni mwa may tuanze DZA...
Kumbuka huu uzi umeanza August 2021 namba iliwa DWV lakini mpaka leo zimesogea herufi mbilo tu za kati DX na DY takribani miezi 9 zimetumia hazijatoboa DZ...

EAA ni mwakani mwezi wa 2.....
 
Nilisema DYZ haiishi mwezi huu, yaani kama leo ipo DYW...bado tuna XYZ ndio tumalize DY.., then katikati ya April au mwanzoni mwa may tuanze DZA...
Testimonial yangu. Nimelipia gari Japan tar 01.01.2022 registration ikiwa DYE hivi almost miezi mitatu baadae tupo DYW.

Hii ina maana DZA - DZZ itahitaji sio chini ya miezi 4 hivi hadi iishe. Jamaa wa BE FORWARD amenipa uzoefu wake kuwa estimations ni August 2022 ndio EAA itaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…