Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026


Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Okay
 
Nmewah ona migar ya zaman hapa bongo ina namba za mikoa, nafkir TRA wangeboresha tukatumia mfumo wa namba za mikoa ingekua poa sana
Alafu pia kingine kingesaidia ni kama usajili wa namba usiwe unafungana na chasis ya gari ili mtu akimiliki namba T777AAA awe nayo milele kama domain ya website. Hata akiingiza gari mpya anaitumia. Ndo mana Dubai kuna namba zina bei kuliko gari. Unaweza kuta mtu ana rolls Royce ya dollar 500k ila akanunua namba kwa mtu kwa 1m . Mfano namba 07 ya dubai ni bei mbaya sana ukiinunua kwa mmiliki.
 
Alafu pia kingine kingesaidia ni kama usajili wa namba usiwe unafungana na chasis ya gari ili mtu akimiliki namba T777AAA awe nayo milele kama domain ya website. Hata akiingiza gari mpya anaitumia. Ndo mana Dubai kuna namba zina bei kuliko gari. Unaweza kuta mtu ana rolls Royce ya dollar 500m ila akanunua namba kwa mtu kwa 1000m . Mfano namba 07 ya dubai ni bei mbaya sana ukiinunua kwa mmiliki.
Hii imekaa poa zaidi
 
DYY
 

Attachments

  • IMG_0322.jpg
    IMG_0322.jpg
    56.8 KB · Views: 57
Back
Top Bottom