Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mdogo mdogooo....
E August hapo [emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • IMG_0506.jpg
    IMG_0506.jpg
    45.9 KB · Views: 50
mbona inakuja E na mambo bado hayako sawa.....

ila wababe wataziona D zimepitwa na wakati tutajishindia😄
 
DZA...899

DZB.....889

C hadi Z ukiondoa I na O unabakiwa herufi 22.

tutumie herufi B.

899*21=18,879


TRA wanasajiri wastani Wa 3000 kila mwezi.


bado miezi 7 kufika E,


itakuwa November huko, lakini uhalisia ni 2023 ndo E unaiona kitaa.
 
DZA...899

DZB.....889

C hadi Z ukiondoa I na O unabakiwa herufi 22.

tutumie herufi B.

899*21=18,879


TRA wanasajiri wastani Wa 3000 kila mwezi.


bado miezi 7 kufika E,


itakuwa November huko, lakini uhalisia ni 2023 ndo E unaiona kitaa.

Kwa wastani herufi moja kwenda nyingine ni miezi 4,
E Agust katikati
 
Naomba kuuliza. Hizi namba zamagari zinaanzia na namba ngapi. Maana sijawahi kuiona namba T 001DZA. Mara nyingi nazikuta Ni kuanzia T101 DZA. Je wanaanza kutoa namba 001 au zinaanzia 101,
 
Back
Top Bottom