Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hao ni kitengo maalum mkuu sio kila Tiss anajifichaKama unamaanisha TISS, wao wanatumia magari yenye namba za kawaida za kiraia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni kitengo maalum mkuu sio kila Tiss anajifichaKama unamaanisha TISS, wao wanatumia magari yenye namba za kawaida za kiraia.
Huu usajili ni gari za taasisi gan?
Kwanza ukishakuwa na namba unique tayari umeji_exposeHao ni kitengo maalum mkuu sio kila Tiss anajificha
OkayNamba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Alafu pia kingine kingesaidia ni kama usajili wa namba usiwe unafungana na chasis ya gari ili mtu akimiliki namba T777AAA awe nayo milele kama domain ya website. Hata akiingiza gari mpya anaitumia. Ndo mana Dubai kuna namba zina bei kuliko gari. Unaweza kuta mtu ana rolls Royce ya dollar 500k ila akanunua namba kwa mtu kwa 1m . Mfano namba 07 ya dubai ni bei mbaya sana ukiinunua kwa mmiliki.Nmewah ona migar ya zaman hapa bongo ina namba za mikoa, nafkir TRA wangeboresha tukatumia mfumo wa namba za mikoa ingekua poa sana
Hii imekaa poa zaidiAlafu pia kingine kingesaidia ni kama usajili wa namba usiwe unafungana na chasis ya gari ili mtu akimiliki namba T777AAA awe nayo milele kama domain ya website. Hata akiingiza gari mpya anaitumia. Ndo mana Dubai kuna namba zina bei kuliko gari. Unaweza kuta mtu ana rolls Royce ya dollar 500m ila akanunua namba kwa mtu kwa 1000m . Mfano namba 07 ya dubai ni bei mbaya sana ukiinunua kwa mmiliki.
Uchumi unavyodidimia D Inawez kaa had 2025EAA 101 itaingia July 2023.
kwa kutumia permutation probability.
kama hutaki acha... ulinilupia ada?
Hizo gari zina miezi mitatu ziliagizwa..... Zikifika watu watapaki kwa mwendo wa wese unavyoendaBei ya mafuta inapanda lkn watu wanaagiza mikoko
Leo kuna Meli inashusha magari 4000+
Mtu anunue gari afu apaki? labda sio mbongo nimjuae mimiHizo gari zina miezi mitatu ziliagizwa..... Zikifika watu watapaki kwa mwendo wa wese unavyoenda
Kwa huu mzigo ilioingia ni faster tuDYZ naona zishatoka soon tunaingia kwenye DZA
More than 24hrs chombo bado inashusha tu ... kweli imeleta ndinga nyingi sana sio kawaida .... RoRo kawaida kibongobongo huwaga chap tu wazee wa ugiriki wanaondoka zao...kweli tupo uchumi wa katiKwa huu mzigo ilioingia ni faster tuView attachment 2180852
Yah!kitu dyy already kipo kitaani,soon dyz itaingia mtaani piaKuna mdau yake imepotoka jana ila ni DYY