Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Mkuu kumbukumbu zako haziko sawa.

Number C zilianza march 2012, zikaenda had sept 2014. C ndiyo iliyokaa muda mfupi zaidi, na ndiyo iliyomezwa na bodaboda

B ilianza 2009 had 2012 march.
B ilianza 2010
 
Kama DW ipo kwenye V, bado DWW , DWX, DWY, DWZ then
DXA mpaka DXZ,
DYA mpaka DYZ,
DZA mpaka DZZ.. Ndio ianza EAA..
Kila serie moja ina T100### mpaka T999### yaani jumla ya vehicles ( magari na matela) jumla vyombo sajiliwa kwa kila serie 900 , kiufupi ukichukua kuanzia
DWW mpaka DWZ ni gari 900x 4 = 3,600
DXA mpaka DXZ ni gari 900 x 24 = 21,600
DYA mpaka DYZ ni gari 900 x 24 = 21,600
DZA mpaka DZZ nazo ni hivyo hivyo 21,600 jumla mpaka kufikia mwisho wa initial D ni jumla ya vyombo vya moto 68,400 Kwa hiyo kwa hisia na makisio yangu binafsi ( mtizamo wangu toka kamati ya machale na utabiri usio wa kitaalam) usajili EAA labda katikati kuelekea mwishoni mwa mwaka 2023 . Tuombe uzima huu uzi uendelee kuwepo. (Edited )
 
Tena ikifika mwaka huo ndio safi, naanza kuchanga kibubu taratibu niibuke na chuma mwaka 2023
 
D imeteseka sana ....
 
Nakubali mana ukokadiria kwa mwaka huwa zinatumika herufi mbili tu...

Jamaa angu alisajili DVC novermber mwaka jana ila hadi lei bado tupo DW na haijaisha so hapo DZZ inaeza chukua miaka 2+

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Kina sie wamiliki wa namba B tufanye fanye tuziuze kabla namba E azijaingia
 
Namba E itachukua muda mrefu kwasabb mpaka Leo bado tupo Kwenye DW....tunasubiri ifike DX,DY,DZ ndipo tuingie huko Kwenye E.

Gari Yangu namba DUN ilitoka October mwaka Jana ebu fikiria mpaka Leo bado tupo Kwenye DW
 
Hesabu yako iko vizuri, ila pigia herufi 24, siyo26.

I na O hazitumiki.
 
Hesabu yako iko vizuri, ila pigia herufi 24, siyo26.

I na O hazitumiki.
Sema hesabu bana ni akili tu yani! Hivi vitu ukiwekewa kwenye topic ni vigumu ila uki apply logic ni vyepesi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…