Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Kwa taarifa tu,

Hata mwezi haujaisha toka tuingie DZA leo tuko T 600 DZD+

Bado tuna week nzima kuhitimisha mwezi toka DZA ianze.
zimetembea herufi 5 ndani ya mwezi yani dah😅 sababu jana nimeona audi DZE imepaki kitaa😅
 
Ukipiga kwa wastani wa herufi 5 kila mwezi maana hizo herufi 18 ni mwezi wa 6-9 zimeisha tunaanza E! Hii ndio logic inayo make sense wala sio kuhesabu idadi ya magari.
 
Kama DZA iliingia around 16 April na sasa May katikati tushafika DZF, maanake August mapema tunaingia no. EAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…