Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Hizi ni zile gari 3000 zilizoshushwa mwezi uliopita na ile meli kubwa. So ni kama moto wa kifuu tu zitaanza kukwamia kwenye DZF. Zikifika F tunarudi kwenye trend ya herufi kukaa mwezi mzima.
Zinakwamia wapi ulisema?😁!

Tu-bet hii DZG ikikaa mwezi mzima nakutumia 100K!

Tutarudi kwenye hii comment on 20Th June 2022.

NB: DZE na DZF zimekaa siku 10 tu.

HISIA DHIDI YA UHALISIA.
 
Kama unahitaji no ya wakati uliopo tuwasiliane uache kuonekana kazamani. Ulipata za gari wakati huo.
Jaman gari inatafsiri vitu vingi si suala la acceleration tu, ikiwemo hadhi yako na namna yako ya kufikiri! Ni kama smartphone!

Mfano ukiona mtu ana kitambi yuko kwenye toyota MR-S unafikiria nini! Kama si kuwa binti yake hakwenda skuli siku hiyo!

Wanaoenda kufungua bahasha za tender wanajua.

Na wenye ukweni wanajua.
 

Hivi Unafikiri mtu mzima mwenye akili timamu kama mimi sijui kitu kidogo kama hicho?

Huyo mwenzio alituambia meli ya April iliyoshusha gari 3000 zikiisha tunakwamia kwenye DZF.

Kwamba DZF ingekaa mwezi mzima mpaka June huko.😁.

Logic ya kuonesha quee ya meli za magari Dar port ilikuwa kuwaambia hatukwami hata zingeshusha gari 500 kila meli.

Kuna showrooms zina magari ya toka import ya January,kuna magari yanavuka toka Zanzibar daily.

Haihitaji nguvu kubwa kuutetea uhalisia.

NB:Hata hizo 500 zinazoshushwa Tz siyo zote zinasajili mwezi huohuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…