General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
- Thread starter
-
- #821
Sio rahisi I think mwakan
UnaotaNadhan ishaingiaaaaa...ingawa sijakutana nayo..leo nimekutana na DZZ 993
Yani ushainunua?Nasubir hii kwenye Tayota yangu hardtop
Bado MhandisiYani ushainunua?
Naona ndinga zimenasia kwenye DZL, labda wiki hii tunaweza fika M na N kwa pamoja.
ZisogeeDZM ipo mtaani
Wakati wa jiwe km ulikua na akiba yako ndio ulikua muda wa kununua viwanja.watu walikua wanauza bei chee raia zilikua hazina pesa😀😃😀Kwa hela ipi Mzee, Ist inasoma 15m+ sio mchezo, Viwanja vitaanza kupanda bei muda si mrefu.
Acha utapeli wewe😀😀😀 hio DZZ ya Kagame au? Sahizi ndio kwanza tunakaribia kutambaa na DZM kama haijaanza ila ndio current plateNadhan ishaingiaaaaa...ingawa sijakutana nayo..leo nimekutana na DZZ 993
DZL tayari?Acha utapeli wewe😀😀😀 hio DZZ ya Kagame au? Sahizi ndio kwanza tunakaribia kutambaa na DZM kama haijaanza ila ndio current plate
Yeah L tayari mkuu inatamba roadDZL tayari?
Mobile app za benk haziruhusu kupiga screenshot mkuu!Hebu kabla hatujakimbilia kusubiri namba E tuonyeshane screenshot ya account zetu benki kupitia mobile app za benki. Siyo tunakomenti na watu hawana hela wanasubiri namba E. IST tu sasa hivi showroom millioni 18.
Hela hazikai bank....Hebu kabla hatujakimbilia kusubiri namba E tuonyeshane screenshot ya account zetu benki kupitia mobile app za benki. Siyo tunakomenti na watu hawana hela wanasubiri namba E. IST tu sasa hivi showroom millioni 18.