Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Naona ndinga zimenasia kwenye DZL, labda wiki hii tunaweza fika M na N kwa pamoja.
 
Hebu kabla hatujakimbilia kusubiri namba E tuonyeshane screenshot ya account zetu benki kupitia mobile app za benki. Siyo tunakomenti na watu hawana hela wanasubiri namba E. IST tu sasa hivi showroom millioni 18.
Mobile app za benk haziruhusu kupiga screenshot mkuu!
Afu hata kama zingekua zinaruhusu sidhani kama ingekua sahihi kufanya hvyo🤒
 
1655228755862.png
 
Back
Top Bottom