Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Mimi na gari inaingia mwezi wa 7 na nilitegemea ipate namba E
 
Cha ajabu hizi plate number mpya zinavyo kimbia zinaishia Dar tu?? Nikija huku mikoani sizioni kabisa au unaona moja moja kwa mbinde..
Hamna mahali plate number ni mpya zaidi ya DSM na mikoa yenye wachimbaji dhahabu kama Songwe kule Saza ukienda gari ni za namba mpya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…