Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Polish_20220621_221540424.jpg
Tuliingia DZA wiki ya Pasaka.

Kwahiyo hadi leo 21st June 2022 tuna miezi miwili na wiki moja.

Tupo DZN ambapo N imevuka nusu ya herufi kwenye alphabet A-Z.

So nusu ya pili ya alphabet DZP-DZZ ikitumia miezi miwili na wiki moja kama tulivyofanya kwenye nusu ya kwanza DZA-DZN then by September 2022,EAA kwa road.
 
View attachment 2268215Tuliingia DZA wiki ya Pasaka.

Si mchezo watu wananunua sana magari nyakati hizi ndio maana namba zinakimbia sana kuliko kawaida
 
Nafikiri na huu ujenzi wa SGR unachangia kiasi fulani hizi namba kukimbia hivi.

Wale waliopitiwa na mradi wanalipwa pesa ndefu pengine kuliko mradi wowote nchi hii kwa sasa.

Hizi za mikononi zinaenda faster na wanaouza wanadaka DZ faster.

Uwepo wa mawakala wa kampuni za kuagiza magari karibia miji yote mikubwa hadi Manispaa km Kahama.

Bila kusahau mitandao ya kijamii pia imerahisisha sana biashara ya magari i.e taarifa na madalali.
 
View attachment 2268215Tuliingia DZA wiki ya Pasaka.

Kwahiyo hadi leo 21st June 2022 tuna miezi miwili na wiki moja.

Tupo DZN ambapo N imevuka nusu ya herufi kwenye alphabet A-Z.

So nusu ya pili ya alphabet DZP-DZZ ikitumia miezi miwili na wiki moja kama tulivyofanya kwenye nusu ya kwanza DZA-DZN then by September 2022,EAA kwa road.
Uko sawa 100 % ila nafikiri ikifika DZV itaanza kupungua spidi sana ya usajili kwa kuwa kila mmoja atategea iingie no E , hivyo inaweza kwenda mpaka October au zaidi.
 
Back
Top Bottom