Si mchezo watu wananunua sana magari nyakati hizi ndio maana namba zinakimbia sana kuliko kawaidaView attachment 2268215Tuliingia DZA wiki ya Pasaka.
Kwahiyo hadi leo 21st June 2022 tuna miezi miwili na wiki moja.
Tupo DZN ambapo N imevuka nusu ya herufi kwenye alphabet A-Z.
So nusu ya pili ya alphabet DZP-DZZ ikitumia miezi miwili na wiki moja kama tulivyofanya kwenye nusu ya kwanza DZA-DZN then by September 2022,EAA kwa road.
Sahizi naona wabongo wanaweka chassis kwa number qlate za njano. Utaratibu ukoje huko?Ikifika tembelea chasis number tu ukisubiria E
Majesta tamu sana sema ni V8 hahaha ina balaa ila kama atataka standard achukue AthleteAmen! Ntamfikishia ujumbe atajua mwenywe mambo ya wese[emoji3][emoji3]
run x na alex ni gari moja?DZN hiyo
.....View attachment 2270408
Zinafanana kwa karibu kila kitu.run x na alex ni gari moja?
Bila shaka ni ulevi huu tu, gari unadumbukizaje mtaroni namna hio?DZN hiyo
.....View attachment 2270408
Na kainunua juzi tuDZN hiyo
.....View attachment 2270408
Pole yake.. Tatizo wanakimbiza gari kama namba DZ inavyokimbia kuisha..!DZN hiyo
.....View attachment 2270408
Huyu kagongwa nyuma, ukigongwa nyuma vizuri unashangaa tu gari imehamia lane ya pili.Pole yake.. Tatizo wanakimbiza gari kama namba DZ inavyokimbia kuisha..!
Ahhh kumbe.. My bad..Huyu kagongwa nyuma, ukigongwa nyuma vizuri unashangaa tu gari imehamia lane ya pili.
Nothn special about E...push dinga hata kama ni DZZ [emoji2][emoji2]Can't wait to see you E....
Nishaagiza chumaa....
Itafika july....
Naiweka lockup mpk August hapo...
Nuthin special mpaka pale utapotaka kuiuza πππNothn special about E...push dinga hata kama ni DZZ [emoji2][emoji2]
Inakaribia kuishaNgap huko mtaani?
DZP bado tuuuu????????
Imekula kwake na insurance third-party. Kwanini watu hawatumii comprehensive?Na kainunua juzi tuView attachment 2270617
Uko sawa 100 % ila nafikiri ikifika DZV itaanza kupungua spidi sana ya usajili kwa kuwa kila mmoja atategea iingie no E , hivyo inaweza kwenda mpaka October au zaidi.View attachment 2268215Tuliingia DZA wiki ya Pasaka.
Kwahiyo hadi leo 21st June 2022 tuna miezi miwili na wiki moja.
Tupo DZN ambapo N imevuka nusu ya herufi kwenye alphabet A-Z.
So nusu ya pili ya alphabet DZP-DZZ ikitumia miezi miwili na wiki moja kama tulivyofanya kwenye nusu ya kwanza DZA-DZN then by September 2022,EAA kwa road.