Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.

Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.

Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
 
View attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.

Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.

Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Ninachowapenda Jan kwenye mileage wako sahihi kama unavyoziona beforward hawa wengine wanashusha mileage ni bora anaekwambia ukweli gari imetembea kiasi gani
 
Ninachowapenda Jan kwenye mileage wako sahihi kama unavyoziona beforward hawa wengine wanashusha mileage ni bora anaekwambia ukweli gari imetembea kiasi gani
Shida ni pale utakapohitaji kuliuza tu kibongobongo.

Wanunuzi wataelewa kweli kuwa wewe ni genuine mileage na wengine ni ghushi?

Kwa wanaonunua gari anadumu nalo mpaka limfie sioni shida kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…