Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Gari nyingi tu za jeshi letu Jwtz ndio wenye huo mfumo
 
View attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.

Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.

Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Gari yenye km 100,000+ unatakiwa ukiinunua unabadili timing belt, tensioner, bearing na waterpump kitu kinakua kama kipya...
 
T111AAA mpaka T999ZZZ itachukua miaka 150
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…