Kama DW ipo kwenye V, bado DWW , DWX, DWY, DWZ then
DXA mpaka DXZ,
DYA mpaka DYZ,
DZA mpaka DZZ.. Ndio ianza EAA..
Kila serie moja ina T100### mpaka T999### yaani jumla ya vehicles ( magari na matela) jumla vyombo sajiliwa kwa kila serie 900 , kiufupi ukichukua kuanzia
DWW mpaka DWZ ni gari 900x 4 = 3,600
DXA mpaka DXZ ni gari 900 x 24 = 21,600
DYA mpaka DYZ ni gari 900 x 24 = 21,600
DZA mpaka DZZ nazo ni hivyo hivyo 21,600 jumla mpaka kufikia mwisho wa initial D ni jumla ya vyombo vya moto 68,400 Kwa hiyo kwa hisia na makisio yangu binafsi ( mtizamo wangu toka kamati ya machale na utabiri usio wa kitaalam) usajili EAA labda katikati kuelekea mwishoni mwa mwaka 2023 . Tuombe uzima huu uzi uendelee kuwepo. (Edited )