Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Gari ikiwa written off haitolewi Kwenye mfumo wa TRA ,na hakuna trafik anayekagua chassis number,kwahiyo ikipatakana gari ya kufanana wapo wanaojilipua
 
kujua kwingi nako ni tatizo nikushauri tu nemda TRA kapate elimu kwanza kabla ya kuwa mbishi.
 
Mkuu sasa hivi namba hizi 111/222/333/444/555/666/777/888/999/123/456/789 zimeingizwa kwamba ni special namba kwaio hizo kuzipata ni 500,000 yani system inaisoma kama 500,000 hio hatari sana....
Aisee, hicho ndo nilikuwa nasemea.
 
September mwishoni
 
mhh hii namba E inakazi sana kuna mwamba ni askari kanunua crown namuona nayo kama sijakosea inaenda mwezi wa tatu yupo na id number kila nikipishana nae najisemea akilini anangoja E na wilaya yetu isivyo na magari makali bas atatamba sana kwa wanaothamini plate number
 
ila zitoke tu hizo E watu wakizishambulia sisi wengine tukatafute C zetu safiii. alaf hamna umyama kama unamiliki gari yenye number ya zaman alaf kwa matunzo ionekane bado mbichi ukipita lazma watu wabishane. me mkoani kwangu kuna vyuma vikikupita prado ranger vx usajili B ila inaita vibaya mno chombo matunzo japo kumiliki E napo kuna ujiko watu wanajua umenunua gari nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…