Melona anasemaje huko
Aisee, so September wenye pesa zao wanakutana kuanza na namba E sio? Nitajitahidi ikifika ELY nitangaze jina langu kupitia namba ya gari[emoji3][emoji3][emoji3]Hii ni jana uku mwisho wa nchiView attachment 2327104
Melona anasemaje huko
Week ijayo tunafunga na EHuyo melona mpaka asajili gari yeye ndo anapost namba, kawa mzush tuu.. kitu iyo cheki View attachment 2327226
Inaenda kutimiaIngawa niliandika hivi, ila sasa naamini mwezi wa nane mwishoni tutakuwa "E"sababu nimeona angalau wiki tatu Alphabet saba zimeyoyoma.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, so September wenye pesa zao wanakutana kuanza na namba E sio? Nitajitahidi ikifika ELY nitangaze jina langu kupitia namba ya gari[emoji3][emoji3][emoji3]
Haya wale wenye A hadi D shusheni bei
Thubutuuuu🤣🤣🤣🤣Namba E Inaenda kunibariki ka-premio namba DY kwa 7 M
Huku tumeshapita kitambo sanaHii ni jana uku mwisho wa nchiView attachment 2327104
Tupo mbele mbele hukoHuyo melona mpaka asajili gari yeye ndo anapost namba, kawa mzush tuu.. kitu iyo cheki View attachment 2327226
Ipo wapiE imekuja. Tunaosubiri namba F tujuane🤣🤣🤣
Bado 199T
800
DZZ
T
800
DZZ