Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

IMG-20220819-WA0128.jpg


Mambo yanaenda kasi sana
 
Hizo ni code namba za gari au chassis number mfano
ANH hii ni code number za Toyota alphard
Ikiandikwa ANH 10 Hii inamaanisha ni alphard iliotengenezwa 2002-2008 tena two wheel drive na ikiwa ANH15 four wheel drive hivyo Kwa sasa wengi wanaandika chassis number wakisubiri number E
Upumbavu ulioko Sasa Ni unaikuta ANH 10 imewekwa kwny Crown,na sio GRS 180 tena.

Ndicho kinachoendelea huku kitaa.
 
Back
Top Bottom