Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Naomba nitoke kidogo nje ya mada ingawa swali linahusika na namba. Ni hivi nina gari yangu niliipaki muda mrefu sana juani mpk vibao vya namba vimepauka sana. Ninahitaji vibao vipya utaratibu ukoje na ni kiasi gani?
 
Haya haya
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2022-08-22 at 1.04.28 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2022-08-22 at 1.04.28 PM.jpeg
    20.6 KB · Views: 24

Finally its here…. Tukabargain sasa mitaani huko namba C zenye quality nzuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na sisi tuendeshe ,
Ila wabongo sijui nani alituambia uzuri wa gari ni Namba na sio quality hasa engine ya gari…
Yan bei ya gari watu wanaitathminisha kwanza kwenye namba mengine utajua mwenyewe
 
Watu wengi wanaangalia namba sababu wamiliki wengi wa magari ni wazembe kwenye maintanance na wengi wanategemena gari moja kwahiyo the older the plate the old the car (uchakavu)

Ni watu wachache sana wanafanya regular maintanance
 
Upon sahihi kabisa wabongo wengi gari ikiwa na wese tu,yeye mbio na inatengenezwa ikisha haribika.check-up ya Mara kwa Mara haipo.
 
Back
Top Bottom