General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
- Thread starter
- #1,401
Swali; namba za magari zinaazia 100 na kuendelea au 001?
101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali; namba za magari zinaazia 100 na kuendelea au 001?
tusamehe mkuuSijui nifukie comment za wadau waliosema E mwakani. Ila ngoja
E mwanzo itakimbia then tutaidhoea taratibu kwenye game
Ndo tunayapeleka car wash kuondoa vumbi tuliyafungia ndani na chasis number.Wale mliokua mnasubir No.E mshanunua magari??
Ishafika 300+ aseee....Tunaimesubiri na tumeshaipata.View attachment 2331509
KimeumanaaHaya haya
17000 kibao kimoja, viwili 30,000Naomba nitoke kidogo nje ya mada ingawa swali linahusika na namba. Ni hivi nina gari yangu niliipaki muda mrefu sana juani mpk vibao vya namba vimepauka sana. Ninahitaji vibao vipya utaratibu ukoje na ni kiasi gani?
EAF ndio tutafunga nayo, watu wanatoa gari zao kabatini sasa.Hadi huu mwezi usishie EAE itakuwa imefika
Ikifika EGA utajiona sana na mwenye namba A.Tunaimesubiri na tumeshaipata.View attachment 2331509
Ikifika EGA utajiona sana na mwenye namba A.
Hio itakuwa mbali mno, 2025 huko 😂😂😂Ikifika EGA utajiona sana na mwenye namba A.
Mimi ndo nsisubiria hio EAE chuma kinatoka bandarini kesho kutwa...😂😂😂Hadi huu mwezi usishie EAE itakuwa imefika
Mwili tu haufanyiwi checkup itakuwa gari 😀Upon sahihi kabisa wabongo wengi gari ikiwa na wese tu,yeye mbio na inatengenezwa ikisha haribika.check-up ya Mara kwa Mara haipo.