Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Sijui nifukie comment za wadau waliosema E mwakani. Ila ngoja

E mwanzo itakimbia then tutaidhoea taratibu kwenye game
 
Tunaimesubiri na tumeshaipata.
20220822_180509.jpg
 
Naomba nitoke kidogo nje ya mada ingawa swali linahusika na namba. Ni hivi nina gari yangu niliipaki muda mrefu sana juani mpk vibao vya namba vimepauka sana. Ninahitaji vibao vipya utaratibu ukoje na ni kiasi gani?
17000 kibao kimoja, viwili 30,000
 
Back
Top Bottom