Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2030Tukimaliza namba D, muanzishe uzi wa namba F.
DZZ 900+Nimeona kigoma DZZ jana...
Alhamis ijayo inaingia EABNaweka nucta hapa .
Alhamis ijayo inaingia EAB
Nilisema mimi mwezi wa nane D inaisha watu wakaja na magazijuto yao hapa eti D hadi mwakani[emoji23]J3 ukurasa mpya. heko kwake aliyetabiri mwezi wa nane hautoisha
Hatimaye uzi unaishia ukingoni baada tu ya sensa...
Kuna gari kama 2,000 zinasubiri namba E. Soon EAA itaonekana kama DZZ
Upumbavu ulioko Sasa Ni unaikuta ANH 10 imewekwa kwny Crown,na sio GRS 180 tena.Hizo ni code namba za gari au chassis number mfano
ANH hii ni code number za Toyota alphard
Ikiandikwa ANH 10 Hii inamaanisha ni alphard iliotengenezwa 2002-2008 tena two wheel drive na ikiwa ANH15 four wheel drive hivyo Kwa sasa wengi wanaandika chassis number wakisubiri number E
Namba E tayari mjini