Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

IMG_1122.jpg
 
Au nitaweka namba za Singapore
Ikipita miezi mitatu haujafanya usajili utalambwa parefu na TRA. Unaweza nunua passo yani kwa hio hela watayokupiga.

Shetta alipigwa 12m baada ya discovery 3 lake kupitisha miezi mitatu tokea kali-import tokea Sauzi bila kubadili number plate / kufanya registration.

Kwa hio akili mtu wangu
 
Kwa mujibu wa sheria au kanuni ipi
 
Mimi nimewahi kuvusha gari kwenda nchi nyingine ikiwa na TZ registration. Unachokifanya border ni ku-surrender original docs na unapewa muda wa kurudisha gari nchini. Sasa hizi ni issue za customs. I'm sure ukipitiliza kuna penalties na fines so hiyo issue ya Shetta itakua hivyo.

Angetaka asipate shida angetoa gari nje ya nchi na kurudisha within time then bado angeendelea kutumia foreign registration in TZ. Ni kama unarenew ile grace period
 
Back
Top Bottom