Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Polish_20220607_215816489.jpg
Wiki ijayo tunaifunga na DZN.
 
Wale jamaa wanaojua hadi idadi ya magari ya bongo kwenye kila meli ya Dar port wamepotea kwenye huu uzi.😁😁.

NB:Walitabiri DZG ingekaa mwezi mzima kutoka May hadi June!
Hahahah lazma wapoteane tu mzigo DZL ndio kwanza June 7 mpaka kufikia june 30 tutakuwa tushafika DZQ bila shaka😀
 
Bora E itoke ili tuchomoke na namba D kibingwa
 
Back
Top Bottom