Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Shida ni pale utakapohitaji kuliuza tu kibongobongo.

Wanunuzi wataelewa kweli kuwa wewe ni genuine mileage na wengine ni ghushi?

Kwa wanaonunua gari anadumu nalo mpaka limfie sioni shida kabisa.
Mkuu mbona simple tu ukitaka kuliuza wew unashusha mileage
 
5G+ Speed
20220703_230724.jpg
 
Can't wait to see you E....
Nishaagiza chumaa....
Itafika july....
Naiweka lockup mpk August hapo...
Nimeona uzi huu ukizungumzia namba za usajili wa magari nchini Tanzania, nikaona nitoe darasa la Permutations & combinations. Gari lililokaririwa lilikuwa na namba ya usajili T609DWV. Hiyo inamaanisha namba ya usajili inaanzia na T ikafuatwa na tarakimu 3; nazo zikafuatwa na herufi tatu. Hesabu za Permutation zinasema kwamba kwa mpangilio huo magari 17,576,000 yanaweza kusajiliwa kama tarakimu zote 10 (0, 1, 2, ..., 9), na herufi zote 26 (A, B, C, ..., Z) zitatumika. Kwa kila herufi kuwa ya kwanza na mipangilio mingine ikabakia hivyo hivyo, magari 676,000 tu ndiyo yanaweza kusajiliwa.

Wakati huo huo, kama itasemekana tarakimu 0 & 1 zinaweza kuchanganywa na herufi O na I, na ikaamuliwa hizo herufi mbili zisitumike, basi idadi ya magari yanayoweza kusajiliwa ni 13,824,000 tu na kwa herufi moja, pekee kutangulia kunaweza kusajiliwa magari 576,000 tu.

kwa hiyo, General Mangi unaweza kukisia muda utakaosubiri mpaka herufi E ifikiwe, kwa kuzingatia pia wastani wa magari yanayosajiliwa kwa mwezi.
 
Kutoka herufi moja ya katikati kuhamia nyingine ni magari kama 64,000...

Yani kutoka DY to DZ...

Inshort kutoka DZR kwenda DZS ni siku 4 hadi 6
Kwa mwezi zinatembea herufi minimum 4....

Hivyo kwa hii Jully tunapiga R, S, T na U..
August tunapiga V,W,X, na Y...

September tunamalizia Z na kuanza U....
 
December?
S T U V W X Y Z duuh zimebaki herufi nane.
Nmekubali september hapo au October E inawaka mtaani.
Nimeamini kweli kwamba kati ya watanzania mill60 ni vijana wachache sana jamiiforums wanasubiria namba E. 99% ya wa tz hawana habari na namba E ndo mana namba zinakimbia.
Ingekuwa nchi nzima inasubiria namba E, Namba D isingetoboa kiasi hichi.
 
Usiwe na hasira mkuu
 
Uzi unasema tunaosubiri namba E tukutane hapa.. Nje ya hapo ni porojo tuu..
Tunaokula kitimoto tukutane hapa.. Wewe huli.. Unakuja kufanya nini..!!?
Wenye wake wengi tukutane hapa.. Wewe bachelor.. Unakuja kufanya nini..!!?
Wenye PhD tukutane hapa.. Wewe una bachelor tena.. Unakuja kufanya nini..!!?

Anzisha wako unaosema vijana wachache sana jamiiforums wanasubiria namba E.
 
Back
Top Bottom