Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

V, W, X, Y & Z

Zimebaki herufi 5 lakini za moto sana....zitatembea kwa kujikongoja mno ni kama kila mmoja anajizuia ili akamate namba E.

Sioni ajabu zikivuta hadi December hivi. Watu sasa hv wanasikiliziana sana na wameamua kukaa na hela zao kusubiri E

Huku mtaani naona cheses namba nyingi watu wamegoma kila mtu anasubiri namba E ahahahahaa wasitucheleweshe wasajil bwana
 
V, W, X, Y & Z

Zimebaki herufi 5 lakini za moto sana....zitatembea kwa kujikongoja mno ni kama kila mmoja anajizuia ili akamate namba E.

Sioni ajabu zikivuta hadi December hivi. Watu sasa hv wanasikiliziana sana na wameamua kukaa na hela zao kusubiri E
Haya mawazo ya watoto wa chuo tu ambao ndiyo asilimia 99.9% za wenye magari
 
Back
Top Bottom