CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,093
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah asee, ila mwamba ana bima kubwa. I hope itamsaidia
Mkuu na sisi wenye namba A ina tuhusu ?Kwa Uchakavu wa 500k tu, una hold special number. Huduma inatolewa TRA
Hebu kabla hatujakimbilia kusubiri namba E tuonyeshane screenshot ya account zetu benki kupitia mobile app za benki. Siyo tunakomenti na watu hawana hela wanasubiri namba E. IST tu sasa hivi showroom millioni 18.
Million ngapi
14.7Million ngapi
Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.
Mkuu pole sana, ila ukitaka gari agiza mwenyewe online maswala ya kutumia mawakala utapeli ni mwingi.Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.
Huu msala ushawahi nitokea kwa jamaa walijiita magari rahisi na sasa wamebadili jina....Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.
Ila tayari namba zimevuka EBFMambo ya special namba[emoji91][emoji91]View attachment 2433631
Na utakuta na wewe unatumia muda mwingi kuponda watu wanaotafuta magari halafu hata bei ya gari hujui...Watanzania bado wana ujinga mwingi ndo maana wanaibiwa. Mtu anatumia muda mwingi JF, Twitter, Insta, FB ila hajui jinsi ya kutafuta gari Befoward na kuuliza jinsi gani afanye aweze lipia.