Tunaosubiria mshahara wa Julai 2021 kwa hamu tukutane hapa.

Tunaosubiria mshahara wa Julai 2021 kwa hamu tukutane hapa.

Mada juu yajieleza.
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.
Wa vitengo maalumu tushawekewa asubuhi na mapemaaaa...

IMG_20210625_090225.jpg

IMG_20210526_152442.jpg
 
Mada juu yajieleza.
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.

Kikawaida mishahara ya July huwa inachelewa, so mshahara uhakika ni wiki ijayo.
 
Mada juu yajieleza.
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.
[emoji28][emoji28][emoji28] daah umenichekesha, utaangalia salia kila baada ya dakika 30?
 
Back
Top Bottom