Tunaosubiria mshahara wa Julai 2021 kwa hamu tukutane hapa.

Tunaosubiria mshahara wa Julai 2021 kwa hamu tukutane hapa.

Mmemchefua Mwigulu Nchemba hamtaki kutuma na ya kutolea mwezi huu tukutane tarehe 31 kama salary slip inavyojieleza.
Maana kutoa kabla ya tarehe ya mwisho wa mwezi ilikuwa ni ihsaan tu na siyo sheria
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Tuliooanda madaraja tunamshukuru mama Samia, abarikiwe sana!
 
Back
Top Bottom