Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wa vitengo maalumu tushawekewa asubuhi na mapemaaaa...Mada juu yajieleza.
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.
Wa vitengo maalumu tushawekewa asubuhi na mapemaaaa...
View attachment 1863275
View attachment 1863280
Mada juu yajieleza.
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.
Duuuh! hiyo Kama sio 5mWa vitengo maalumu tushawekewa asubuhi na mapemaaaa...
View attachment 1863275
View attachment 1863280
Naona umesha draw hela ya mafundi ukawalipe sasa sio ukae nazo bar uotewe na “wangunju”Wa vitengo maalumu tushawekewa asubuhi na mapemaaaa...
View attachment 1863275
View attachment 1863280
Kweli kabisa awe makini. Hizi hela za Kibongo zina mashetaniNaona umesha draw hela ya mafundi ukawalipe sasa sio ukae nazo bar uotewe na “wangunju”
Kuna mtu kapigwa 4m changanyikeni jana! Wazee wamemuotea na boda boda kumbe wana mashine! Wakalamba 4M na simu simu!Kweli kabisa awe makini. Hizi hela za Kibongo zina mashetani
DuuuhhhhKuna mtu kapigwa 4m changanyikeni jana! Wazee wamemuotea na boda boda kumbe wana mashine! Wakalamba 4M na simu simu!
Wazee wamerudi kaziniDuuuhhhh
Masihara hayo!
Wazee wamerudi kazini
Roho wamemuachia?Kuna mtu kapigwa 4m changanyikeni jana! Wazee wamemuotea na boda boda kumbe wana mashine! Wakalamba 4M na simu simu!
[emoji28][emoji28][emoji28] daah umenichekesha, utaangalia salia kila baada ya dakika 30?Mada juu yajieleza.
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.
Eeh hawajamdhuru sababu alikuwa kwenye bajaji na dereva wakapigwa piniRoho wamemuachia?
Duuh!Eeh hawajamdhuru sababu alikuwa kwenye bajaji na dereva wakapigwa pini
Wa vitengo maalumu tushawekewa asubuhi na mapemaaaa...
View attachment 1863275
View attachment 1863280
mbona hiyo oni Mt.Livingstone Mwanjelwa au ? nilishapita hapo mwaka juzi.Wa vitengo maalumu tushawekewa asubuhi na mapemaaaa...
View attachment 1863275
View attachment 1863280
Kuna mtu kapigwa 4m changanyikeni jana! Wazee wamemuotea na boda boda kumbe wana mashine! Wakalamba 4M na simu simu!
Nyie mpaka kesho ama kesho kutwa [emoji28][emoji28][emoji28]Mwanangu hiyo misimbazi inanipa uchungu