Tunaosumbuliwa na vibarango Tukutane hapa

Andikahapa hayomadawa mkuu
 
Hapo tatizo liko damuni. Dawa za kupaka litakuwa linaenda na kurudi. tafuta unga wa mziwa ziwa, msokonoi na hembe mbera. kidogo utakunywa kwa chai wiki moja na kidogo utaandalia mafuta ya kupaka wiki. Hapo utamaliza tatizo lolote la ngozi iwe aleji, pumu ya ngozi , n.k . Kwa ushauri zaidi piga 0713 039 875
 

mmhh
 
kula vitunguu saumu wiki tatu chukua naa tangawizi changanya na asali kunywa asbh na jion

paka na alovera asbh na jion...nioopalekwaamangi
 
Pole ila dawa ya vibarango/mapunye ni rahisi sana ni hii

Chukua msusa(majani ya maboga) yasigine mpaka upate majimaji, weke kwenye hayo mapunye, hata mara 2 tu. Unafuta mpaka kovu.

Ulete mrejesho
Je dawa ya utango tango/ mabaka baka mgongoni na mabegani?
 
Mkuu sema tiba ya utango tango dugu yagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…