Tunaotaka kuomba Bachelor degree vyuo mbalimbali 2020/2021 tukutane basi

Matokeo yakitoka tu msumbueni coordinator atume matokeo af AVN usiprocess kwenye mtandao timba ofisin za NACTE.
 
Matokeo yakitoka tu msumbueni coordinator atume matokeo af AVN usiprocess kwenye mtandao timba ofisin za NACTE.
Hapa nimekupata vizuri ndugu we ndo utakuwa muongozo wangu,
Kwahyo ukitimba NACTE ni chapu..ety
 
GPA kuanzia ngapi huwa inamata kuchukuliwa bachelor offcourse Sokoine University.. Course kama Agronomy,G-agricture na Forestry...?
Upper second class ila kumub competition kwa vyuo vya kilimo jitahid upige kuanzia 3.5
 
Naomba niulize wakuu.. Mtu kama atajilipia kila kitu chuoni (meals, accomodation, tuition fee + all expenses) then anavyo vigezo vyote vya kusoma course flani, je anaweza kupata direct admission one way from the university kwa course anayoitaka?
If YES, atatumia njia gani?

*Nimeandika kama nilivyoulizwa
 
Vipi kwa kozi Kama human resources na business administration hiv G.P.A ni ngap ili qualify kuendelea bachelor
 
Lazima aingie kwenye competition ya kupata nafasi.
Chuo hautapata kwa uwezo wako wa kulipa bali kukidhi vigezo na kupita kwenye competition ya kupata nafasi kadiri ya idadi ya wanaohitajika
 
Lazima aingie kwenye competition ya kupata nafasi.
Chuo hautapata kwa uwezo wako wa kulipa bali kukidhi vigezo na kupita kwenye competition ya kupata nafasi kadiri ya idadi ya wanaohitajika
As I said vigezo vyote anavyo (PCB-DBB) Ila ametarget chuo kimoja tu kwa course anayoitaka yeye ndio maana anauliza kama kuna uwezekano wa kupata direct admission.
 
Unatoa huduma gani mkuu,kana ni AVN hapo utatukamata wengi sana maana tumekwama...!
Mkuu, shida inayosababisha AVN iwe issue sana ni vyuo kuchelew kutuma matokeo NACTE, au nacte kuchekewa ku-confirm matokeo.
Ila kwenye suala LA kuomba AVN ni rahisi tu nasikia hata kwa simu inawezekana na wala Hanna documents nyingi zinazohitajika
 
Najipanga na safari ya kuzitafuta ofisi za NACTE makao makuu,maana hata izi za kanda nackia hakuna msaada wowote.Nimehangaika na hii AVN,huu sasa mwezi wa tatu.Chuo na NACTE wanarushiana mpira.Chuo wanasema wametuma na NACTE wanasema hawajatuma.Chuo nimemaliza mwaka Jana 2019,matokeo yangu yote yamekamilima na GPA ni nzuri sana.Sina supp,wala hakuna somo linapungua wala kudaiwa.Hivyo nikisema AVN imenitesa,jua imenitesa vya kutosha...!
 
Poleeeeeh sanaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…