Tunaotambikia Mizimu hasa mwisho wa mwaka tukutane hapa

Tunaotambikia Mizimu hasa mwisho wa mwaka tukutane hapa

sundoka hayo mambo yatakuwa yapo kwenu sio buhaya mimi ninachokijua na nina uhakika haya mambo wahaya walishaachana nayo
 
Uchagani ukijulikana tu upo ktk hizi imani hizi unatengwa kabisa na jamii iliyokuzunguza pamoja na kanisa pia.
 
Na nyie mnaoamini hizi dini, hamjui hao watakatifu mnaowataja ni mizimu ya kizungu? Nafuu utambike kwa mzimu wako wa kiafrika, na unajua ni chanzo cha wazazi wako.
 
Kwa tafsiri yako hiyo ya mizimu, nimeamua kukupuuza tu!
Kwani mizimu ni malaika? Si ni watu hawahawa tu? Na sifa kubwa kabisa ya mwanadamu ni kuwa na mapungufu na madhaifu mengi, BUJIBUJI hajakosea, labda wewe utupe tafsiri nzuri zaidi.
 
Na nyie mnaoamini hizi dini, hamjui hao watakatifu mnaowataja ni mizimu ya kizungu? Nafuu utambike kwa mzimu wako wa kiafrika, na unajua ni chanzo cha wazazi wako.
Hamna meanadamu Mtakatifu wala mkamilifu, tusilishane matango pwempwimpwo
 
Acha kutusingizia wewe, wahaya hatujaacha asili yetu. Bado wenzio tunatambika na nyaruju zetu zipo na rubaya bado zipo nyingi. Mimi mwenyewe kwetu tunatambika kama kawaida na kuomba (kutela omushango). Ukipeleka kitu chochote nyumbani kama zawadi huwa kinatolewa kidogo kinawekwa huko madhabahuni (omurubaya/nyaruju) na mhusika anakuombea kwa mizimu ikubariki wewe uliyeleta rizki zako zizidi kufunguka na uzidi kufanikiwa na wakulinde na mabaya yote. Na kweli ukirudi mjini mambo yako yananyooka na mtu hawezi kuchezea au kukuroga.

Sema mtoa mada ameandika kama mtumwa wa dini za kuja (mental slave). Maana haiingii akilini kusema mababu zetu sisi waafrika walikuwa wafiraji, wezi, wachawi, wabakaji, n.k kwa hiyo mizimu (mababu zetu/ancestors) ni ya shetani, alafu mababu wa wazungu ni watakatifu[emoji57][emoji57]. Huu ni utumwa wa kiwango cha SGR. Na waafrika tusipojitambua tutatawaliwa sana na wazungu. Wazungu wenyewe wanatudharau kwa kuona tunadharau vya kwetu tunapapatikia vya kwao. Yaani hao mababu wa kizungu mnaoita watakatifu akina Joseph, Constantine, King James, n.k. Huyo mt. Constantine alikuwa muuaji mkubwa sana, aliua na kufunga watu wengi sana kwa kuwalazimisha kuukubali ukristo, huyo King James alikuwa shoga, n.k na ushahidi upo lakini wao mnawaita watakatifu. Ila mababu zetu ambao kwanza walikuwa watakatifu kimaadili na hamna ushaidi wa hayo mnayoyasema mnakuja kuwaita wafiraji. Very embarrassing[emoji17][emoji17]
Mizimu ni mizimu, iwe ya Kiyunani, Kibondei, au Kichina, yote ni mizimu, na zamani walikuwa watu wenye mapungufu mengi.
Hamna sehemu nimesema kuwa muwaabudu walioleta dini, hao nao ni waganga njaa tu.
Utafuteni ukamilifu wa dhati wa Mungu mwenyewe bila kupitia kwa hiyo mizimu, bila kujalisha rangi ya mzimu
 
Kwani mizimu ni malaika? Si ni watu hawahawa tu? Na sifa kubwa kabisa ya mwanadamu ni kuwa na mapungufu na madhaifu mengi, BUJIBUJI hajakosea, labda wewe utupe tafsiri nzuri zaidi.

Bujibuji nilichagua kumpuuza, wala sijasema amekosea bali nimesimama kinyume naye... wewe pia nakupuuza vivyo hivyo!
 
sundoka hayo mambo yatakuwa yapo kwenu sio buhaya mimi ninachokijua na nina uhakika haya mambo wahaya walishaachana nayo
Najua akili yako inakuelekeza kuwa kuonekana hamtambiki ni kuonekana mmendelea. Ila ungejua makabila yanayotambika ndo bado yapo juu ungekaa kimya. Angalia wachaga, wahaya, nk.
 
Mizimu ni mizimu, iwe ya Kiyunani, Kibondei, au Kichina, yote ni mizimu, na zamani walikuwa watu wenye mapungufu mengi.
Hamna sehemu nimesema kuwa muwaabudu walioleta dini, hao nao ni waganga njaa tu.
Utafuteni ukamilifu wa dhati wa Mungu mwenyewe bila kupitia kwa hiyo mizimu, bila kujalisha rangi ya mzimu
Utakatifu wa kweli unapatikana kupitia wapi? Utakatifu mtakatifu unapatikana ndani yako mwenyewe na kile unachokiamini. Ukiabudu kwa kutambika ni sawa na anayetoa sadaka kanisani, n.k.
 
Hapa tu mkuu ndio pamenifurahisha sana..

Maana haiingii akilini kusema mababu zetu sisi waafrika walikuwa wafiraji, wezi, wachawi, wabakaji, n.k kwa hiyo mizimu (mababu zetu/ancestors) ni ya shetani, alafu mababu wa wazungu ni watakatifu[emoji57][emoji57]. Huu ni utumwa wa kiwango cha SGR. Na waafrika tusipojitambua tutatawaliwa sana na wazungu. Wazungu wenyewe wanatudharau kwa kuona tunadharau vya kwetu tunapapatikia vya kwao. Yaani hao mababu wa kizungu mnaoita watakatifu akina Joseph, Constantine, King James, n.k. Huyo mt. Constantine alikuwa muuaji mkubwa sana, aliua na kufunga watu wengi sana kwa kuwalazimisha kuukubali ukristo, huyo King James alikuwa shoga, n.k na ushahidi upo lakini wao mnawaita watakatifu. Ila mababu zetu ambao kwanza walikuwa watakatifu kimaadili na hamna ushaidi wa hayo mnayoyasema mnakuja kuwaita wafiraji. Very embarrassing[emoji17][emoji17]
 
Huyu alieleta hii post ni muhaya aliezaliwa toka yale madanguro ya Mwanayamala kwa wahaya. Hajui chochote kuhusu mila wala imani.
Sasa soma alichopost muhaya halisi ujifunze.
Hizi dini za wazungu umeona zinaanza kuku haribu kuwa shoga. Endelea tuu
 
Na nyie mnaoamini hizi dini, hamjui hao watakatifu mnaowataja ni mizimu ya kizungu? Nafuu utambike kwa mzimu wako wa kiafrika, na unajua ni chanzo cha wazazi wako.
sawa mkuu ukibishana na mutu hajasoma utapata taabu sana . Hawata kuelewa hawa hata utambike uchi. Hwana elimu kabisaaaaa! Hata historia ya dini hawaijui.

things fall aoart.african child hivi vitabu vilitufungua kidogo kuhusu dini. Na tukajua

Sasa leo mfia dini hajui kitu msamehe tu huyo.itamchukua mda sana kujua. Kwa st kayumba hizi kazi ipo.
 
Back
Top Bottom