Navy seal soldier
Senior Member
- Oct 6, 2019
- 148
- 276
Hapana mkuu em shusha nondo tupate mwangaUnaijua AGOA
Swali la kwanza: unaonaje sera ya rais Samia Suluhu Hassan katika ukusanyaji wa kodi.?Daah Kweli hili pia ni bonge La possible contemporary questionSwali la kwanza: unaonaje sera ya rais Samia Suluhu Hassan katika ukusanyaji wa kodi.?
Swali la kwanza: unaonaje sera ya rais Samia Suluhu Hassan katika ukusanyaji wa kodi.?
Technique ni moja tu, ingia nasimu lazima utoboe yaniKama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo
Naomba kuwasilisha
#stay blessed guys
#merci
Dah ukikutwa na cmu si Msala uoTechnique ni moja tu, ingia nasimu lazima utoboe yani
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
mm nafikiri hizi posts si mara ya Kwanza kufanyiwa masahiliano UTUMISHI kwa kwa mujibu wa muanzilishi wa uzi huu lengo Ni kushare experience tu na hints tu katika kufanya maandalizi tu kwa hiyo haimanishi kwamba utapata picha halisi utakayoenda kukutana nayo mule ndani Ila kwa uzoefu wangu mdogo areas of concentration ni Research Qns and Maswala ya Kodi kwa hiyo Ni vema ukajiweka sawa kwenye eangle hzo.Never meet and discuss the written interview ya Utumishi you will be Suprised😂😂😂
Yaan mkuu uneomba tu kazi now unapanga kuhusu interview, what if usipoitwa? Au majina yashatoka?Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo
Naomba kuwasilisha
#stay blessed guys
#merci
UTUMISHI as long as unavigezo utaitwa unless otherwise labda kuwe error ndogo katika utumaji maombi na kwa utaratibu wao huwa Kama huna sifa hata kutuma application huwezi kwa hyo kama ukiweza kutuma application basi teyari unazo.Yaan mkuu uneomba tu kazi now unapanga kuhusu interview, what if usipoitwa? Au majina yashatoka?
Yaan mkuu uneomba tu kazi now unapanga kuhusu interview, what if usipoitwa? Au majina yashatoka?
Tunajipa moyo kaka mungu ni mwema tutaitwa tuYaan mkuu uneomba tu kazi now unapanga kuhusu interview, what if usipoitwa? Au majina yashatoka?
Umeitwa kiongozi afu majina wanachukua waliotwa dodoma kufanya interview vp ulikuwepo, we subir majina yatoke ndo ujiandae na swala la interviewTunaojindaa Na interview Tujuane Mapema
yap yap Lete tips izoTunaojindaa Na interview Tujuane Mapema