Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

i am typical kuryan na am proud for this....lakini mila za kule kwetu bana siziwezi...nashukuru nimezaliwa na kukulia kilimanjaro
Hii jina lako ni 'ra kure kwetu' ila la mleta mada jina lake haliekei hata kidogo.
 
siku ya kwanza kwenda hapo sirari, nlishangaa sana jinsi wanavyoishi hawa watu,mauaji kila kona , ila wakijua km ww mgeni hapo ndo utalia wanawatesa sana wasukuma migodini.
nb:mm mwenyew ni mkira wa sirari ila nlizaliwa mjini ,so, nlikuwa naendaga kusalimia tu
amang'ana muraaaaaaaaaaa
 
Mimi nipo hapa hapa musoma makao makuu ya mkoa Wa Mara watu Wa hapa ni wakarimu tofauti na nilivyowadhania, tatizo no watu Wa kulipa kisasi yaani kama umemfanyia ubaya hata baada miaka mingi analipa kisasi Kwa ndugu yako yoyote hata kama ulikwisha kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Kweli mkuu kwenye hilo la kuzikimbia familia

Wakurya hatuna huo utamaduni wa kukimbia familia zetu hilo nakupinga
Na unavyosema et ndo mkoa masikini kuliko yote duh sijui ni kwa vigezo gani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mkuu sawa sirari kule ni mpakani kwahiyo ni lazma mambo kama hayo

Ila umezaliwa mjini kivipi???
Pale tarime mjini au

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Duuuuuuh,

Kisasi kama kesi ya madai!?

Kwamba, ukifa hukumu ikitolewa jamaa zako wanalipia deni!!

Wakurya, shikamoooooooo!,
 
Lazima uamke usiku kabla baba hajaamka kwenda kumsalimia usipofanya hivyo jua kesi hiyo!
Watoto Ni lazima wajifunze Na kusalimia kwa kikurya!
 
Tehetehetehe mkuu umesema kweli.. Tuko hivyo 100%, unakaa kitunda sehemu gani mura
 
Duuuu sawa msukuma tumekusikia
 
Hilo Ndo tatizo letu pia visasi yaani tuna tabia ya kuweka mambo moyoni sana Japo sio wote mkuu

Kwahiyo ndo maana mtu aweza kusema niwakatili

Ila watu kutoka mkoa wa mara ni wakarimu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima uamke usiku kabla baba hajaamka kwenda kumsalimia usipofanya hivyo jua kesi hiyo!
Watoto Ni lazima wajifunze Na kusalimia kwa kikurya!
Mkuu wewe Ndio umekaa na wakurya na umetusoma vyema, acha hao wanaosikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…