Hii jina lako ni 'ra kure kwetu' ila la mleta mada jina lake haliekei hata kidogo.i am typical kuryan na am proud for this....lakini mila za kule kwetu bana siziwezi...nashukuru nimezaliwa na kukulia kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii jina lako ni 'ra kure kwetu' ila la mleta mada jina lake haliekei hata kidogo.i am typical kuryan na am proud for this....lakini mila za kule kwetu bana siziwezi...nashukuru nimezaliwa na kukulia kilimanjaro
Ndipo ukakutana na makonda oyeeNa mimi nilikulia huko kwa miaka fulani zamani.
Sio Kweli mkuu kwenye hilo la kuzikimbia familiaWakurya achen wizi fanyen kazi
Vile vile achen kuzikimbia familia zenu na kukimbilia mikoa ya watu
Ukiangalia mkoa wa mara kwa sasa ndo mkoa masikin kuliko yote kanda ya ziwa, mkoa kwa sasa unazidiwa mbali sana na mikoa mipya ya usukuman kama geita na simiyu pia inazidiwa mbali sana na wilaya za kahama na maswa
Wakurya badiliken kuwen na akili achen ushamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu kuna familia baba Hali wali kama ikipikwa wali basi lazima upikwe ugali kwa ajili ya baba tuNilishangaa kusikia kuwa eti Wali "boiled rice "ni kifungua kinywa. Ila Chakula hasa kwa wanaume ni ugali, nyama na kichuli.
Ni jina tu MkuuHii jina lako ni 'ra kure kwetu' ila la mleta mada jina lake haliekei hata kidogo.
Duh mkuu sawa sirari kule ni mpakani kwahiyo ni lazma mambo kama hayosiku ya kwanza kwenda hapo sirari, nlishangaa sana jinsi wanavyoishi hawa watu,mauaji kila kona , ila wakijua km ww mgeni hapo ndo utalia wanawatesa sana wasukuma migodini.
nb:mm mwenyew ni mkira wa sirari ila nlizaliwa mjini ,so, nlikuwa naendaga kusalimia tu
amang'ana muraaaaaaaaaaa
Mimi nipo hapa hapa musoma makao makuu ya mkoa Wa Mara watu Wa hapa ni wakarimu tofauti na nilivyowadhania, tatizo no watu Wa kulipa kisasi yaani kama umemfanyia ubaya hata baada miaka mingi analipa kisasi Kwa ndugu yako yoyote hata kama ulikwisha kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unakimbia unaweza linganisha na mkoa upi kanda ya ziwa then onesha uongo wangu hapoSio Kweli mkuu kwenye hilo la kuzikimbia familia
Wakurya hatuna huo utamaduni wa kukimbia familia zetu hilo nakupinga
Na unavyosema et ndo mkoa masikini kuliko yote duh sijui ni kwa vigezo gani mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tehetehetehe mkuu umesema kweli.. Tuko hivyo 100%, unakaa kitunda sehemu gani muraNimeishi Na wakurya mda mrefu sana!
Kwanza niwasifu kitu kimoja mna jali sana ndugu,
Ila MNA haya;
Ati mtoto akifeli shule au akiharibu chochote basi mwanaume anakuja kumgombeza mama nyumbani! Yaani utafikiri huyu mama alimtuma mtoto afeli......
*Kujifanya much know sana ! hapa Ndio mnameza rekodi!
*Wivu kwa wanawake wakati huo we mwanaume kutoka Na wanawake wengine basi Ndio unajiona wewe kidume!
*Kukeketa watoto wenu wa kike halafu mkifika mjini mnashoboka Na wanawake wa makabila mengine ambao hawajakeketwa Na kuona kama ulipotea vile kuoa aliyekeketwa!
[HASHTAG]#Nitaendelea[/HASHTAG]
Duuuu sawa msukuma tumekusikiaWakurya achen wizi fanyen kazi
Vile vile achen kuzikimbia familia zenu na kukimbilia mikoa ya watu
Ukiangalia mkoa wa mara kwa sasa ndo mkoa masikin kuliko yote kanda ya ziwa, mkoa kwa sasa unazidiwa mbali sana na mikoa mipya ya usukuman kama geita na simiyu pia inazidiwa mbali sana na wilaya za kahama na maswa
Wakurya badiliken kuwen na akili achen ushamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Ndo tatizo letu pia visasi yaani tuna tabia ya kuweka mambo moyoni sana Japo sio wote mkuuMimi nipo hapa hapa musoma makao makuu ya mkoa Wa Mara watu Wa hapa ni wakarimu tofauti na nilivyowadhania, tatizo no watu Wa kulipa kisasi yaani kama umemfanyia ubaya hata baada miaka mingi analipa kisasi Kwa ndugu yako yoyote hata kama ulikwisha kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe Ndio umekaa na wakurya na umetusoma vyema, acha hao wanaosikiaLazima uamke usiku kabla baba hajaamka kwenda kumsalimia usipofanya hivyo jua kesi hiyo!
Watoto Ni lazima wajifunze Na kusalimia kwa kikurya!
Marahabaaa mkuu kwa niaba ya wakurya woteDuuuuuuh,
Kisasi kama kesi ya madai!?
Kwamba, ukifa hukumu ikitolewa jamaa zako wanalipia deni!!
Wakurya, shikamoooooooo!,
Sawa mkuu Ndio mkoa maskini tumekubali, lengo la mada sio battle na mikoa mingine ya kanda ya ziwa kwa wewe unavyotaka iwe, jaribu kusoma mada uieleweMbona unakimbia unaweza linganisha na mkoa upi kanda ya ziwa then onesha uongo wangu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app