Tunaotumia ringtone za dini kwenye simu yetu tukutane hapa. Je unatumia wimbo gani?

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo.

Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani?

NI DAMU IDONDOKAYO

Wimbo
: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K. 72
Mtunga maneno: W. Cowper, (1731-1600)


2. Ilimpatia wokovu mwizi kule mtini;
nami nisiyemtafuta, inanisafisha.
Bwana wangu ...
3. Shaushi aliyemlinda Yesu akiteswa,
naye akamshuhudia: ni Mwana wa Mungu!
Bwana wangu ...
4. Nipe ulimi mpya Yesu wa kukuimbia,
Babayo tutamtukuza Jina lake pekee.
Bwana wangu
 
Ambao hatuna simu kabisa tunacomment wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…