Tunaotumia ringtone za dini kwenye simu yetu tukutane hapa. Je unatumia wimbo gani?

Tunaotumia ringtone za dini kwenye simu yetu tukutane hapa. Je unatumia wimbo gani?

Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo.

Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani?

NI DAMU IDONDOKAYO

Wimbo
: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K. 72
Mtunga maneno: W. Cowper, (1731-1600)

View attachment 2510075
2. Ilimpatia wokovu mwizi kule mtini;
nami nisiyemtafuta, inanisafisha.
Bwana wangu ...
3. Shaushi aliyemlinda Yesu akiteswa,
naye akamshuhudia: ni Mwana wa Mungu!
Bwana wangu ...
4. Nipe ulimi mpya Yesu wa kukuimbia,
Babayo tutamtukuza Jina lake pekee.
Bwana wangu
Mi nimeweka "Mungu baba tusamehe tumelewa, dunia hii kuna watu wanakera, chikiri papapapapa poripori-chikiri papapapapa poripori"
 
Back
Top Bottom